بسم الله الرحمن الرحيم

kutafuta elimu ni faradhi kwa kila muislamu
الحمد لله الذي نستعينه ونستغفره ونعوذ بالله من شرور أنفسنا ومن سيئات أعمالنا من يهد الله فلا مضل له ومن يضلل فلا هادي له .



ونشهد أن لا إله إلا الله وحده لا شريك له ونشهد أن محمدا عبده ورسوله أرسله بالهدى ودين الحق ليظهره على الدين كله وكفى بالله شهيدا




Thursday, February 4, 2010

MAONI YENU YAHITAJIKA

بسم اللَّهِ الرحمن الرحيم.
الحمد لله والصلاة والسلام على رسول الله
TUNAWAKARIBISHA WAISLAMU WOTE NDANI NA NJE YA UDOMSA KUTOA MAONI YENU JUU YA TOVUTI YETU HII TULIYOIANZISHA
INSHHALLAH TUPO KWA AJILI YA KUYATEKELEZA NA KUFANYIA KAZI
BIIDHIN ALLAH
WAWEZA KUANDIKA BARUA PEPE KWA ANUANI ILIYO JUU YA TOVUTI AU KWA KATIBU
SULEIMAN ABDALLAH-
+225 712 008 227 AU +225 754 371 115.
WAWEZA PIA KUTUMA MAKALA KATIKA SOFT COPY NAYO TUTAJARIBU KUIRUSHA KATIKA TOVUTI HII.

No comments: